Miongoni mwa kongamano la balozi.. Qaswida ya mmoja wa watumishi wa Maahadi ya Qur’ani tawi la wanawake imepata nafasi ya pili.

Qaswida ya mmoja wa watumishi wa Maahadi ya Qur’ani tawi la wanawake katika Atabatu Abbasiyya tukufu imepata nafasi ya pili katika zawadi ya Muslim bun Aqiil (a.s).

Mtafiti bibi Zahara Saalim Jabaar amewasilisha mada ya ushairi isemayo “Ahlulbait (a.s) katika mashairi ya Kufa”.

Mada hiyo imepata nafasi ya pili katika zawadi ya Muslim bun Aqiil (a.s), ilikuwa miongoni mwa shughuli za kongamano la balozi awamu ya kumi na mbili, inayo simamiwa na uongozi mkuu wa masjidi Kufa.

Mtafiti huyo amesoma qaswida za Khuwailidi zinazohusu Ahlulbait (a.s) na zinazofungamana na aya za Qur’ani kimatamshi na kimaana, zinaelezea wakarim (11), qaswida hizo zimekidhi vigezo vyote vya qaswida za Umudiyya na zimevutia wahudhuriaji wote.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: