Kitengo cha maadhimisho na mawakibu Husseiniyya kimetangaza nyakati za kuwasiri mawakibu za zanjiil katika Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya, na sehemu za kuanzia na kuishia matembezi yao kuanzia siku ya kwanza hadi ya tisa katika mwezi huu wa Muharam 1445h.
Kitengo kimewataka viongozi wa mawakibu Husseiniyya wazingatie muda uliopangwa kama unavyo onekana kwenye jeduali.