Ofisi ya Saiyyid Sistani imetangaza kuwa kesho siku ya Ijumaa ni siku ya kwanza ya mwezi wa Safar.

Ofisi ya Ayatullahi mkuu Muheshimiwa Sayyid Ali Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa kesho siku ya Ijumaa tarehe (18/8/2023m) ni siku ya kwanza ya mwezi wa Safar mwaka wa 1445h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: