Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Muheshimiwa Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu imetangaza kuwa kesho siku ya Jumatano tunakamilisha mwezi wa Rabiul-Aakhar na siku ya Alkhamisi sawa na (16/11/2023m) ndio siku ya kwanza ya mwezi wa Jamadal-Uula mwaka 1445 Hijiriyya.