Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Jumapili ya kesho tunakamilisha mwezi wa Rajabu.

Ofisi ya Marjaa-Dini mkuu Muheshimiwa Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa Jumapili ya kensho tunakamilisha mwezi wa Rajabu na siku ya Jumatatu (12/02/2024m) ndio siku ya kwanza katika mwezi wa Shabani mwaka 1445h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: