Muhimu.. ofisi ya Sayyid Sistani imetaja kiwango cha Zakaatul-Fitri.

Ofisi ya Muheshimiwa Marjaa Dini mkuu Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, imetaja kiwango cha Zakaatul-Fiti mwaka huu ni Dinari (2000) kwa unga wa mtu mmoja.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: