Chuo kikuu cha Alkafeel kimeandaa kikao darasa cha kupitia selebasi ya uuguzi ili iendane na mahitaji ya soko.

Kitivo cha uuguzi katika chuo kikuu cha Alkafeel kimeandaa kikao chenye anuani isemayo (Uboreshaji wa selebasi ya uuguzi kulingana na mahitaji ya soko).

Kikao hicho ni sehemu ya juhudi za kuboresha elimu ya juu, mtoa mada alikuwa ni rais wa tawi la uuguzi Dokta Muhammad Daakhil Rikabi, mbele ya msaidizi wa mkuu wa idara na walimu wa chuo.

Kikao kimejadili selebasi ya uuguzi na changamano zake, kwa lengo la kuiboresha na kufanya iendane na mahitaji ya soko.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: