Kitengo cha malezi na elimu kinaendelea na maandalizi ya hafla ya wahitimu wa michezo katika shule za Al-Ameed.

Kitengo cha malezi na elimu katika Atabatu Abbasiyya, kinaendelea na maandalizi ya hafla ya wahitimu wa michezo katika shule za Al-Ameed.

Kunamaandalizi maalum ya hafla ya wanamichezo wa shule za Al-Ameed, yametengenezwa mabango, picha na zawadi mbalimbali, aidha kutakuwa na matembezi maalum ya washiriki wa hafla hiyo.

Hafla itakuwa na vipengele tofauti, yakiwemo maigizo mbalimbali yanayolenga kutoa mafunzo ya kidini na kibinaadamu kwa wanafunzi wa shule za Al-Ameed.

Washiriki wa hafla hiyo ni wanafunzi (480) wa shule za msingi pamoja na wazazi wao.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: