Atabatu Abbasiyya imetaja muda wa kuonyesha kisa kamili cha kuuawa kwa Imamu Hussein (a.s).

Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya imetaja muda wa kuonyesha kisa kamili cha kuuawa kwa Imamu Hussein (a.s) ndani ya ukumbi wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Tukio la kuuawa kwa Imamu Hussein (a.s) litarushwa mubashara kutoka Atabatu Abbasiyya kwa sauti ya msomaji marehemu Abduzaharaa Kaabi saa 12:30 asubuhi siku ya mwezi kumi Muharam.

Tunatoa wito kwa watu woje wahudhurie na kushiriki.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: