Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu, umetangaza majina ya washindi wa shindano la kuzaliwa Imamu Hassan Askariyya (a.s).
Washindi wanatakiwa kufika kwenye kitengo cha wahasibu wa Ataba tukufu kuchukua zawadi zao wakiwa na vitambulizho (kitambulisho cha uraia au hati ya kusafiria) ndani ya muda usiozidi siku nne toka kutolewa tangazo hili.