Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Ijumaa ya kesho ni siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Shabani

Ofisi ya Marjaa-Dini mkuu Muheshimiwa Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani kaika mji wa Najafu imetangaza kuwa Ijumaa ya kesho tarahe (31/01/2025m) ni siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Shabani mwaka 1446h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: