Makundi ya waumini wanaswali swala ya Idul-adh-ha katika uwanja wa katikati ya haram mbili tukufu

Kundi kubwa la waumini limeswali swala ya Idhul-adh-ha katika uwanja wa katikati ya haram mbili tukufu.

Swala ya Iddi imehudhuriwa na maelfu ya waumini waliojaa kwenye uwanja huo, katika mazingira tulivu yaliyojaa furaha.

Waumini wamemuomba Mwenyezi Mungu mtukufu ajalie Amani katika taifa la Iraq, awarehemu mashahidi na kuwaponya haraka majeruhi na wagonjwa.

Vitengo vya Atabatu Abbasiyya tukufu, vimeweka mkakati maalum wa kutoa huduma bora kwa mazuwaru wa Abulfadhil Abbasi (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: