Wahudumu wa kitengo cha utumishi wamesafisha eneo linalozunguka Atabatu Abbasiyya tukufu

Wahudumu wa kitengo cha utumishi katika Atabatu Abbasiyya, wamesafisha eneo linalozunguka malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Kazi hiyo ni sehemu ya juhudi za kudumisha usafi na kupokea zuwaru katika mazingira mazuri.

Wamesafisha eneo la haram tukufu kwa lengo la kuweka mazingira mazuri kwa zuwaru.

Kazi hiyo ni sehemu ya mkakati wa utoaji wa huduma unaofanywa na kitengo, kwa lengo la kutoa huduma bora kwa watu wanaokuja kufanya ziara katika mji mtukufu wa Karbala.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: