Wahudumu wa kitengo cha utumishi katika Atabatu Abbasiyya wamefanya usafi katika maeneo yote yanayozunguka malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Kazi hiyo ni sehemu ya kudumisha usafi na kuandaa mapokezi ya zuwaru kwa namna iliyobora zaidi.
Nao ni mkakati wa kiutumishi ulioandaliwa na kitengo, kwa lengo la kuandaa mazingira mazuri na kuwezesha ufanyaji wa ziara katika mazingira mazuri.






