Kitengo kinachosimamia uwanja wa katikati ya haram mbili katika Atabatu Abbasiyya, kimeweka mabango yanayoashiria furaha ya kumbukizi ya kuzaliwa Bibi Fatuma Maasuma (a.s).
Wameweka mabango na mapambo kwenye uwanja wa katikati ya haram mbili, yaliyoandikwa maneno yanayoashiria furaha ya kumbukizi ya mazazi hayo takatifu.
Uwekaji wa mabango na mapango yanayoashiria furaha katika uwanja wa katikati ya haram mbili ni sehemu ya kuadhimisha kumbukizi ya kuzaliwa Ahlulbait (a.s).





