Wahudumu wa kitengo kinachosimamia uwanja wa katikati ya haram mbili katika Atabatu Abbasiyya wameweka vizuwizi vya chuma kwa lengo la kuongoza zuwaru watukufu.
Wamefanya hivyo chini ya uratibu wa kitengo katika usiku wa Ijumaa ili kupangilia matembezi ya zuwaru.
Shughuli hizi ni sehemu ya mkakati wa kiutumishi katika Atabatu Abbasiyya tukufu na kuweka mazingira mazuri ya kufanya ibada ya ziara.




