Makundi ya waumini yamehuisha usiku wa Ijumaa ya kwanza katika mwezi wa Dhulqaadah mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Atabatu Abbasiyya imefanya kila iwezalo katika kuhudumia zuwaru.
Ataba tukufu inamkakati maalum wa kuhudumia zuwaru katika sekta ya usalama, afya na kusimamia matembezi ya zuwaru mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).





