Makundi ya waumini yamehuisha usiku wa Ijumaa katika mwezi wa Dhulqaada mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Atabatu Abbasiyya imefanya kila iwezalo katika kuhudumia zuwaru, kwa kuwapa mahitaji mbalimbali.
Atabatu Abbasiyya imeweka mkakati maalum wa kuhudumia zuwaru, unaohusisha sekta ya ulinzi, afya na kuongoza matembezi ya zuwaru mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).





