Dua hiyo imesomwa katika mazingira tulivu na kwa ushiriki wa zuwaru wa malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).
Wahudumu wa Atabatu Abbasiyya tukufu huweka mazingira mazuri ya usomaji wa dua, kwa kuandaa vitabu vya dua, sehemu maalum ya kufanyia ibada na kutoa huduma za lazima kwa zuwaru.





