Watumishi wa kitengo cha Baina-Haramain wameosha vipoza upepo katika uwanja wa katikati ya haram mbili

Watumishi wa kitengo cha Baina-Haramain katika Atabatu Abbasiyya, wameosha vipoza upepo katika uwanja wa katikati ya haram mbili tukufu.

Wameosha feni na kuondoa udongo na vumbi kwenye feni na viyoyozi, ili zipulize hewa safi.

Kazi hiyo ni sehemu ya mkakati unaolenga kuweka mazingira mazuri kwa zuwaru wa Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: