Kituo cha masomo ya utafiti kuhusu imamu Mahdi (a.f) chatangaza majina ya walio faulu katika shindano kubwa la Mahdawiyya..

Maoni katika picha
Adhuhuri ya leo Juma Tano (20 Shabani 1438h) sawa na (17/05/2017m) katika ukumbi wa haram tukufu ya Abulfadhil Abbasi (a.s) ilipigwa kura ya kuwapata washindi wa shindano la Mahdawiyya awamu ya tano lililo endeshwa na kituo cha masomo ya utafiti kuhusu imamu Mahdi (a.f).

Katika shindano hilo wameshiriki watu (49,323) wote walikua na matumaini ya kufaulu na kwenda kuzuru nyumba ya Mwenyezi Mungu mtukufu na Mtume (s.a.w.w), baada ya kuhudhuria upigaji kura uliofanyika katika ukumbi wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) wakapatikana washindi (10) walio zawadiwa gari kila mmoja na washindi (100) wa safari ya Umra na kuzuru kaburi la Mtume (s.a.w.w).

Zifuatazo ni namba za kadi za washindi:

Walio shinda gari:

Namba
Herufi
1653
ج
7036
و
1259
ز
9236
ح
8202
د
70
ز
2401
د
5742
ج
7735
ح
2651
د



Waliofaulu kwenda Umra:

Herufi Namba
ي


761


ح


3358


ز


6663


ز


1500


د


495


ز


5399


ط


573


د


7903


د


147


ز


1818


أ


1972


هـ


4508


ز


129


ز


853


ي


2019


و


7235


ط


2817


ط


2914


ز


6529


ح


4608


ج


2447


ح


9459


و


4325


هـ


2171


أ


1966


ز


1950


ط


2817


ي


1359


و


6431


ز


1203


ز


1185


أ


3119


ز


1967


د


5145


د


2624


د


8150


ج


8316


ح


5278


أ


4934


ز


4869


ج


6731


د


4658


د


8317


أ


2925


ج


414


ج


6232


ح


9803


ج


1119


أ


1419


د


436


د


1219


و


7670


ح


6991


و


819


ز


5106


ط


1207


و


5704


ح


8663


ج


630


ج


2801


أ


717


و


6091


أ


2995


ز


9891


ج


3250


ح


5946


ح


1872


ح


2789


ز


6976


ج


4711


ح


3604


ج


2920


ج


645


ح


7852


د


2944


ج


7077


د


4877


ح


8661


و


2538


ج


369


هـ


4789


د


4982


و


2581


ز


943


د


2652


ز


5109


ط


1151


هـ


8408


ح


1390


و


5730


ز


183


أ


4826


و


6128


ط


988


ي


1660


د


9104


ز


7838


د


7205


ج


660


ح


688

Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: