Katika aridhi ya Hadath na kwa kutumia teknolojia ya juu mtandao wa Alkafeel warusha matangazo bure ya matembezi ya wapenzi wa Imamu Hussein (a.s)..

Maoni katika picha
Katika mpango wake wa kufuatilia matembezi ya mazuwaru wa Imamu Hussein (a.s) katika Arubainiyya, idara ya Alkafeel chini ya kitengo cha habari na utamaduni kimetengeneza masafa (chanel) inayo rusha matangazo ya moja kwa moja kutoka katika matembezi ya watu wanao kwenda kufanya ziara ya Arubainiyya kuanzia mbali kabisa kusini mwa Iraq hadi katika Kaaba ya msimamo Karbala tukufu, wakiwa na vifaa vya kisasa kabisa na wataalamu mahiri, wanafanya juhudi kubwa kuhakikisha matembezi haya yanaonekana kila kona ya dunia.

Idara imetoa wito kwa vyombo vyote vya habari vya kitaifa na kimataifa, vitakavyo taka kurusha matembezi haya kutumia anuani zifuatazo:

Satellite: Intelsat 902
Degree: 62e
Dl:11035.5 V
SR:2200
Mod:DVBS-2
FEC:8/9
HD/MPEG-4
Matangazo yatarushwa kwa ratiba ifuatayo:

Yataanza Juma Nne ya Mwezi pili 2 hadi Mwezi 15 Safar.

Saa 1:00 am hadi saa 11:00 am, na saa 8:00 pm hadi saa 4: pm kila siku.

Sambamba na anuani (masafa) ya zamani ambayo hua yanarusha habari za Ataba mbili tukufu (Husseiniyya na Abbasiyya) ambayo ni:

Sat E3B@3°E
Dl:11471.7 V
SR:2500
Mod:DVBS-2
FEC:5/6
HD/MPEG-4
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Ustadh Bashiri Taajir ambaye ni kiongozi wa idara ya uzalishaji ya Alkafeel kwa namba ya simu: (009647706007187) au waweza kuwasiliana na Muhandisi Ihabu Awidi kiongozi wa matangazo katika Atabatu Abbasiyya tukufu kwa namba ya simu: (009647706054144).

Vyombo vya habari ambavyo haviwezi kutumia anuani hizo, Idara imefungua mitandao ya kijamii (Facebook) ukurasa ufuatao:

https://m.facebook.com/alkafeel.for.artistic.production/
na youtube ukurasa ufuatao:

https://www.youtube.com/channel/UCy0MMgRho_O8jxiIj46qMxw
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: