Kwa namba: Haya ndio yaliyo fanikishwa na kikosi cha Abbasi katika hatua ya pili ya vita ya kukomboa kisiwa kikubwa na kufunga mpaka pamoja na kuimarisha ulinzi…

Maoni katika picha
Kikosi cha Abbasi (a.s) cha wapiganaji kimetangaza mafanikio kiliyo pata katika hatua ya pili ya vita ya kukomboa kisiwa kikubwa na kufunga mpaka pamoja na kuimarisha ulinzi, mafanikioa yao yalikua kama ifuatavyo:

  • 1- Kukomboa aridhi yenye kukwa wa kilometa (480).
  • 2- Kudhibiti maeneo saba ya mipaka ikiwa ni pamoja na Tauswin, Zainul-Qaus, Aljazirah, Ummu-Rus, Shabiliyya na Khabuur.
  • 3- Kufungua barabara ya mpakani inayo onganisha wilaya ya Sanjaar na wilaya ya Qaaim kwa urefu wa kilometa (90).
  • 4- Kutegua zaidi ya mabomu (35) ya kutegwa aridhini.
  • 5- Kutegua mabomu yaliyo tegwa katika magari.
  • 6- Kuangamiza sehemu mbili zilizo kua zimetegwa mabomu ya Haaun.
  • 7- Kufunga barabara kuu iliyo kuwa ikitumiwa na maadui kutoka kijiji cha Susa Sirya hadi uwanja wa ndege wa Jiniva.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: