Sabuni ya maji ya kitabibu zao la ndani kutoka shirika la Al-Juud yachuana na bidhaa zilizopo katika soko la Iraq…

Maoni katika picha
Shirika la Al-Juud halijabaki nyuma katika bidhaa zake za sabuni, imetengeneza sabuni yenye matumizi ya kitabibu, sabuni hii inagusa sekta muhimu na itatumika moja kwa moja na wagonjwa, sabuni hii ni kinga muhimu inayo pambana na bakteria wanao patikana hospitalini na katika vituo vya afya, kutokana na ukweli huo; ulionekana umuhimu wa kutengeneza aina hii ya sabuni inayoweza kuangamiza bakteria na mazalia yao.

Wasifu wa sabuni:

 • 1- Imetengenezwa kwa kufuata viwango vya afya vya kimataifa.
 • 2- Inaharufu nzuri.
 • 3- Inauwezo mkubwa wa kuua bakteria na kuangamiza mazalia yao.
 • 4- Inalainisha mikono.
 • 5- Haina madhara yeyote.
 • 6- Rafiki kwa mazingira.
 • 7- Haiachi athari yeyote mbaya.
 • 8- Inafaa kwa matumizi ya nyumbani sambamba na matumizi ya kitabibu.
 • 9- Inauwezo mkubwa na inadumu kwa muda mrefu.
 • 10- Inaujazo mzuri na bei muafaka.

Bidhaa hii inapatikana katika chupa za ujazo wa (ml 500) na ipo katika aina tatu:

 • - Sabuni ya maji ya kitabibu yenye harufu ya limao.
 • - Sabuni ya maji ya kitabibu yenye harufu ya (mti wa) Swanubur.
 • - Sabuni ya maji ya kitabibu yenye harufu ya (tunda la) Farawila.

Kumbuka kua sabuni hizi zinapatikana katika vituo vya mauzo ya moja kwa moja vya shirika hili, vilivyopo katika mkoa wa Karbala na nje ya mkoa huu, kwa maelezo zaidi piga simu namba (07801930125) au (07801035422) au tembelea kituo cha mawasiliano cha shirika kilichopo barabara ya Karbala – Najafu mkabala na nguzo namba (1145).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: