Maahadi ya turathi za Mitume (a.s) yatoa mwongozo wa mfungaji katika aprication (app) mpya…

Maoni katika picha
Kufuatia kuingia kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani na kwa ajili ya kunufaika na sekta ya electronic na kuitumia katika mazingira sahihi yenye tija katika jamii, kufuatia maendeleo ya teknolojia ya kisasa katika elimu, kituo cha mwezi chini ya Maahadi ya turathi za Mitume (a.s) ya masomo ya hauza kwa njia ya mtandao katika Atabatu Abbasiyya tukufu wametengeneza aprication (app) ya mwongozo wa mfungaji maalumu unao elezea ibada za mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Aprication hiyo inapatikana katika simu za kisasa (smart phone) zenye (Android) ili kufungua aprication (app) hiyo tumia anuani ifuatayo: https://play.google.com/store/apps/details?id=api.center.moon.emsak&hl=ar
Aprication hiyo ina mambo matatu makubwa: Inaonyesha nyakati za mwezi mtukufu wa Ramadhani, nyakati za swala na wakati wa kuanza kwa funga, wakati wa magharibi kwa mikoa yote ya Iraq, mtumiaji anaweza kuchagua mkoa wake na kuuhifadhi, hali kadhalika aprication (app) hiyo inafatwa muhimu kutoka katika ofisi ya Marjaa dini mkuu Sayyid Ali Sistani zinazo husu mwezi huu mtukufu, pamoja na mlango wa matukio ya kihistoria, kazi inaendelea ya kuongeza milango mingine.

Kumbuka kua Maahadi ya turathi za Mitume (a.s) ya masomo ya hauza kwa njia ya mtandao chini ya kitengo cha habari na utamaduni cha Atabatu Abbasiyya wamesha tengeneza Aprication (app) nyingi zinazo fanya kazi katika simu za kisasa (smart phone) zenye mfumo wa (Android) na (ios).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: