Hivi punde: Uongozi wa kikosi cha Abbasi (a.s) cha wapiganaji watangaza kuundwa kamati tatu baada ya kuripuka hifadhi ya siraha zake…

Maoni katika picha
Uongozi wa kikosi cha Abbasi (a.s) cha wapiganaji umetangaza kuundwa kwa kamati tatu baada ya kutokea mripuko katika hifadhi yake ya siraha kwenye mji wa Alwand uliopo kilometa 20 kaskazini ya mkoa mtukufu wa Karbala.

Kamati hizo ni:

  • 1- Kamati ya kutathmini hasara zilizo tokana na mlipuko huo kwa raia.
  • 2- Kamati ya kitabibu itakayo toa matibabu kwa watu watakao athirika na mioshi inayo toka sehemu ya mripuko.
  • 3- Kamati ya miripuko itakayo fanya upekuzi (sachi) eneo lote na kuhakikisha halina mabaki ya milipuko.

07732934990

07803191707

07725249589
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: