Idara ya maonyesho ya vitavu ya kimataifa yatakayo fanyika Karbala yatoa wito kwa wadau kuja kushiriki kwenye maonyesho hayo

Maoni katika picha
Idara ya maonyesho ya vitabu ya kimataifa katika mji wa Karbala awamu ya kumi na tano, ambayo yatafanywa sambamba na kongamano la kitamaduni na kimataifa Rabiu Shahada, imetoa wito kwa taasisi zote na vituo vya kusambaza vitabu vya aina mbalimbali wajitokeze kushiriki matika maonyesho hayo, maonyesho yataanza tarehe (28 Rajabu hadi 8 Shabani 1440h), sawa na (4 – 13 Machi 2019m), waje kuonyesha bidhaa zao mbalimbali na kufaidika na uzowefu wa watu wa zamani katika sekta ya utamaduni na elimu kupitia vitabu tofauti, kwa faida ya mazuwaru na wadau wa makumbusho.

  • - Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia: rabee@alkafeel.net au kbfair@alkafeel.net.
  • - Tembelea toghuti ya kongamano la Rabiu Shahada: https://rabee.alkafeel.net/
  • - Au piga simu namba: (+9647809836070).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: