Kituo cha utengenezaji wa vipindi na matangazo ya moja kwa moja (mubashara) Alkafeel chini ya kitengo cha habari na utamaduni, kimetangaza masafa ya bure itakayo tumika kurusha matukio ya kumbukumbu ya kifo cha Imamu Ali Haadi (a.s).
Kituo kinatoa wito kwa vyombo vyote vya habari vya kitaifa na kimataifa vitakavyo penda kurusha matukuo hayo kufuata maelekezo yafuatayo:
Sehemu:- Samaraa / Atabatu Askariyya tukufu.
Tukio:- Kifo cha Imamu Ali Haadi (a.s).
Masafa ni hii ifuatayo:
E3B at 3°E
Down:11579.4 H
SR:3200
DVBS2
8PSK
FEC:3/4
HD/MPEH-4
Kwa maelezo zaidi piga simu hii: +9647732407567