Hivi punde.. Ofisi ya Ayatullah mkuu Sayyid Sistani imetangaza kua kesho itakua mwezi mosi Shabani.

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa Dini mkuu Mheshimiwa Ayatullah Sayyid Sistani imetangaza kua kesho siku ya Jumapili (7 April 2019m) ni siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Shabani mwaka 1440 hijiriyya.

Kutokana na tangazo hilo mtandao wa kimataifa Alkafeel na watumishi wake wote unamuomba Mwenyezi Mungu kwa utukufu wa Abulfadhil Abbasi (a.s), ajalie mwezi huu na miezi mingine iwe yenye kheri, amani na baraka kwa taifa la Iraq na raia wake pamoja na nchi zote za kiislamu, hakika yeye ni mwingi wa kusikua na mwingi wa kujibu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: