Muhimu: Atabatu Abbasiyya tukufu yakanusha kuwepo kwa akaunti yeyote rasmi ya kiongozi wake mkuu wa kisheria

Maoni katika picha
Ofisi ya Mheshimiwa kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya tukufu Sayyid Ahmadi Swafi inatoa tamko la kukanusha uwepo wa akaunti yake rasmi au ya ofisi yake katika mitandao ya kijamii.

Akaunti zote zinazo onekana katika mitandao ya kijamii kwa jina lake ni feki sio za kwake, tunatoa wito kwa wananchi kuchukua tahadhari na yanayo rushwa katika akaunti hizo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: