Maoni katika picha
- 1- Rasili mali watu na vifaa.
- 2- Kutibu matatizo madogo na makubwa.
- 3- Mtambo wa kusafisha kidogo kidogo endelevu.
- 4- Kuna ubinaadamu mkubwa wakati wa kumuhudumia mgonjwa.
- 5- Vifaa tiba vya kisasa zaidi.
Fahamu kua hospitali ya rufaa Alkafeel ambayo ipo chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, inaendelea kufanya miradi ya kibinadamu inayo lenga kutoa huduma kwa mafakiri na familia za mashahidi katika mikoa tofauti ya Iraq.