Uongozi mkuu wa Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya unatuma salam za rambirambi kufuatia shambulizi la kinyama lililofanywa karibu na uwanja wa ndege wa Bagdad, na kupelekea kuuawa majemedari wa vita dhidi ya magaidi wa Daesh.
Tangazo la rambirambi limetolewa kupitia haram ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) mara nyingi.
Kumbuka kua Atabatu Abbasiyya imejiandaa kupokea msafara wa kushindikiza majeneza, na imeandaa masafa maalum itakayo rusha matangazo kwenye vituo vya luninga ambayo ni:
Sat:Express _AM7 aT 40°E
F :11695 V
SR:3200
DVBS2/8PSK
FEC:2/3
HD/MPEG-4
Kwa maelezo Zaidi piga simu namba: (07706054144).