Mafundi wa kitengo cha usimamizi wa kihandisi wanaendelea na ujenzi wa jengo la vyoo katika barabara ya Kibla ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
25-07-2019
Mafundi wa kitengo cha usimamizi wa kihandisi wanaendelea na ujenzi wa jengo la vyoo katika barabara ya Kibla ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
Bado mafundi wa kitengo cha usimamizi wa kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu wanaendelea na ujenzi wa jengo la vyoo katika barabara ya Kibla ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), katika kiwanja chenye ukubwa wa mita ...