Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Jengo la vyoo katika barabara ya Kibla ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
Kutokana na umuhimu wa barabara ya Kibla ya Abulfadhil Abbasi (a.s), ambayo ni moja ya njia kuu inayo ilekea moja kwa moja katika malalo mbili tukufu, huwa na msongamano mkubwa wa mazuwaru katika siku za ziara maalum, ndipo kitengo cha usimamizi wa kihandisi katika Atabatu Abbasiyya kikaanza ujenzi wa jengo la vyoo katika barabara ya Kibla ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), jengo la ghorofa nne kwenye kiwanja chenye ukubwa wa (mt 300).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
25-07-2019
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 32
Zaidi