Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Maqaamu ya mkono wa kushoto wa Abulfadhil Abbasi (a.s)
Mafundi wa kiwanda cha kutengeneza madirisha ya makaburi matukufu na milango mitakatifu chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, wameanza kutengeneza dirisha jipya la Maqaamu ya mkono wa kushoto wa Abulfadhil Abbasi (a.s), lenye viwango bora, kazi hii ni muendelezo wa kazi nyingi za aina hiyo zilizo fanywa na raia wa Iraq kuanzia michoro hadi utengenezaji.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 6
06-09-2021
23-05-2021
04-03-2021
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 47
Zaidi