مساحاتٍ جديدة لخدمة الزائرين ضمن محيط العتبة العبّاسية المقدّسة
أعمال إضافة المساحات قد جاءت لأجل المساهمة في امتصاص الزخم البشريّ الحاصل في هذه المساحة، وزيادة الطاقة الاستيعابيّة لأعداد الزائرين، خصوصاً في أيّام الزيارات المليونيّة التي تشهد زحاماً شديداً للزائرين، ممّا يؤثّر على تأدية أعمالهم العباديّة وزيارتهم في حال عدم تمكّنهم من الدخول للعتبة المقدّسة.
Baada ya kumaliza kuvunja majengo.. watumishi wa Atabatu Abbasiyya wameanza hatua ya pili ya upanuzi
Watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia kitengo cha usimamizi wa majengo ya kihandisi, wameanza hatua ya pili ya kupanua uwanja kwa ajili ya kuhudumia mazuwaru.
Eneo linalo ongezwa kwenye uwanja wa haram lipo Ji ...
Kuendelea kwa kazi ya kuvunja nyumba za Jirani na malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
Kazi inayofanywa na watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu ya kuvunja baadhi ya majengo ya Jirani na Atabatu Abbasiyya kwa lengo la kuongeza eneo bado inaendelea.
Nyumba zinazo vunjwa zipo upande wa mashariki mwa Ataba ...