Baada ya kumaliza kuvunja majengo.. watumishi wa Atabatu Abbasiyya wameanza hatua ya pili ya upanuzi wa uwanja kwa ajili ya kuhudumia mazuwaru
14-03-2022
Baada ya kumaliza kuvunja majengo.. watumishi wa Atabatu Abbasiyya wameanza hatua ya pili ya upanuzi wa uwanja kwa ajili ya kuhudumia mazuwaru
Watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia kitengo cha usimamizi wa majengo ya kihandisi, wameanza hatua ya pili ya kupanua uwanja kwa ajili ya kuhudumia mazuwaru.
Eneo linalo ongezwa kwenye uwanja wa haram lipo Ji ...