Watumishi wa kiwanda cha Saqaa wamefika asilimia hamsini (%50) ya kufunga vipande vya juu walivyo tengeneza vya dirisha la Maimamu wawili Aljawadaini
03-07-2019
Watumishi wa kiwanda cha Saqaa wamefika asilimia hamsini (%50) ya kufunga vipande vya juu walivyo tengeneza vya dirisha la Maimamu wawili Aljawadaini
Mafundi na wahandisi wanaofanya kazi katika kiwanda cha Saqaa cha kutengeneza madirisha na milango ya kwenye makaburi na mazaru matakatifu, hivi sasa wanatengeneza na kuweka dhahabu sehemu ya juu ya dirisha la Maimamu wa ...