Kurejea kuweka dhahabu sehemu ya juu ya dirisha la maimamu wawili Aljawadaini (a.s)
Baada ya mafanikio yaliyo patikana chini ya mafundi mahiri kutoka kiwanda cha Saqaa, kinacho husika na kutengeneza madirisha ya makaburi na mazaru tukufu chini ya Atabatu Abbasiyya, mafundi hao wamekamilisha kazi waliyo pewa ya kuweka dhahabu sehemu ya juu dirisha la maimamu wawili Aljawadaini (a.s).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Zaidi