Maandalizi ya ufunguzi wake: Mafundi na wahandisi wa kituo cha kibiashara cha Afaaf wanafanya matengenezo ya mwisho…
23-03-2018
Maandalizi ya ufunguzi wake: Mafundi na wahandisi wa kituo cha kibiashara cha Afaaf wanafanya matengenezo ya mwisho…
Kituo cha kibiashara cha Afaaf kipo katika hatua za mwisho za ujenzi, kwa ajili ya ufunguzi katika siku chache zijazo, huu ni moja ya miradi muhimu ya kiuchumi inayo endeshwa na Atabatu Abbasiyya tukufu, unao lenga kutoa ...