Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kituo cha kibiashara Al-Afaaf
Baada ya mafanikio yaliyo patikana katika kituo cha kibiashara cha wanawake Al-Afaaf na kukubalika kwake na familia za wakazi wa Karbala na vitongoji vyake, kutokana na kuwepo kwa sehemu maalum za wanawake tu, ndipo uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu ukaona umuhimu wa kupanua mradi huo kwa kujenga jengo kubwa la kibiashara na kuliita Mjmaa Al-Afaaf lililopo hivi sasa, na kuongeza bidhaa zingine, kama vile vifaa vya kielektronik, umeme, chakula na kila kitu kinacho hitajiwa na familia.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 8
31-03-2018
23-03-2018
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 103
Zaidi