Kujiandaa na mwaka mpya wa masomo: Kitengo cha usimamizi wa kihandisi cha Atabatu Abbasiyya tukufu chaanza ujenzi wa mabweni ya ziada ya wanafunzi wa
26-08-2018
Kujiandaa na mwaka mpya wa masomo: Kitengo cha usimamizi wa kihandisi cha Atabatu Abbasiyya tukufu chaanza ujenzi wa mabweni ya ziada ya wanafunzi wa
Kutokana na kujiandaa na mwaka mpya wa masomo na kujipanga kupokea idadi kubwa ya wanafunzi wa kike pamoja na kuwaandalia mazingira mazuri, na kuwapunguzia kazi wazazi wao ya kuwatafutia makazi bora na salama nje ya chuo ...