Kwa ajili ya kupokea idadi kubwa ya wanafunzi na kuwaandalia mazingira mazuri ya masomo, pamoja na kuwapunguzia tabu wazazi na walezi ya kuwatafutia nyumba salama za malazi, kitengo cha usimamizi wa kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu kinafanya ujenzi huu chini ya miradi ya ujenzi wa mabweni katika chuo kikuu cha Al-Ameed, ambacho kipo chini ya kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Ataba tukufu.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 5
Zaidi