Katika msisitizo kua, litakua jengo la kipekee: Watalamu wa Atabatu Abbasiyya tukufu wanaendelea na kazi ya kujenga kubba tukufu ya Masjid Sahla…
24-12-2017
Katika msisitizo kua, litakua jengo la kipekee: Watalamu wa Atabatu Abbasiyya tukufu wanaendelea na kazi ya kujenga kubba tukufu ya Masjid Sahla…
[b]Rais wa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu Muhandisi Dhiyaau Majidi Swaaigh amesisitiza kua: “Kubba la Maqamu Swahibu Zamaan (a.f) katika Masjid Sahla litajengwa kisasa katika ubora ...