Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kuweka marumaru katika kubba la Maqaam ya Imamu wa zama (a.f) katika Masjid Sahla tukufu
Mafundi na wahandisi wa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu, wameanza kazi ya kulifunika kubba la Maqaam ya Imamu Mahdi (a.f) katika Masjidi Sahla tukufu, kwa kutumia vifuniko vya dhahabu na Kashi Karbalai iliyo tiwa dhahabu, chini ya viwango vya kihandisi na kiujenzi vinavyo endana na majengo ya kiislamu sambamba na kutunza muonekano wake wa asili.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
29-07-2018
24-12-2017
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 49
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 3