Utekelezaji wa mradi wa kituo cha kiislamu cha masomo ya mikakati unaenda kama ulivyo pangwa..
19-10-2017
Utekelezaji wa mradi wa kituo cha kiislamu cha masomo ya mikakati unaenda kama ulivyo pangwa..
Rais wa kitengo cha uhandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu, Muhandisi Dhiyaau Majidi Swaaigh amesisitiza kua: “Kazi ya ujenzi wa jengo la mradi wa kituo cha kiislamu cha masomo ya kitengo cha habari na utamaduni ...