Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kituo cha kiislamu cha masomo ya kimkakati
Kituo cha kiislamu cha masomo ya kimkakati chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya tukufu ambacho makao makuu yake yapo Najafu ni miongoni mwa vituo muhimu, kutokana na wingi wa majukumu yake sambamba na wingi wa vitengo vyake ambavyo ni sita pamoja na matawi yake, ukizingatia kua sehemu kilipo hivi sasa haiendani na maendeleo yanayo shuhudiwa, na haikidhi mahitaji ya sasa na ya baadae, ndipo Atabatu Abbasiyya tukufu ikaamua kujenga jengo maalum kwa ajili ya kituo hicho litakalo endana na kazi zake.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 5
10-06-2019
09-02-2019
19-10-2017
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 58
Zaidi