Pembezoni mwa hafla ya kuzindua dirisha la mazaru ya Qassim bum Kaadhim (a.s) kiwanda cha Saqaa chazindua vifaa vya kutengenezea dirisha la Maqaam ya
08-08-2019
Pembezoni mwa hafla ya kuzindua dirisha la mazaru ya Qassim bum Kaadhim (a.s) kiwanda cha Saqaa chazindua vifaa vya kutengenezea dirisha la Maqaam ya
Hafla ya kuzindua dirisha jipya la mazaru ya Qassim bun Imamu Mussa Alkaadhim (a.s), iliyo fanywa asubuhi ya Alkhamisi (6 Dhulhijja 1440h) sawa na (8 Agost 2019m) katika kiwanda cha Saqaa kinacho husika na kutengeneza ma ...