Mafundi wa kitengo cha kutengeneza madirisha ya kwenye makaburi matakatifu na milango ya kwenye makaburi matukufu katika Atabatu Abbasiyya wameweka dirisha la Maqaam ya Imamu Mahadi (a.f) sehemu ya dirisha la zamani lililo tengenezwa makumi ya miaka iliyo pita, jambo ambalo limepelekea kuharibika kwa dirisha hilo na kulifanya lisiendane na maboresho ya jengo hilo yanayofanywa.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Tambua maboresho yaliyo fanywa katika Maqaam ya Imamu Mahadi (a.f)
22-02-2020
Tambua maboresho yaliyo fanywa katika Maqaam ya Imamu Mahadi (a.f)
Mafundi wa kitengo cha kutengeneza madirisha ya makaburi matukufu na milango mitakatifu katika Atabatu Abbasiyya wamemaliza kazi ya kufunga dirisha la Maqaam ya Imamu Mahadi (a.f) na kuchukua nafasi ya dirisha la zamani, ...
Hatua ya kwanza ya kufunga dirisha la Maqam ya Imamu Mahdi (a.f)
01-02-2020
Hatua ya kwanza ya kufunga dirisha la Maqam ya Imamu Mahdi (a.f)
Maqam ya Imamu Mahdi (a.f) haijashuhudia matengenezo makubwa kama yanayo fanyika hivi sasa, yanayo fanywa na Atabatu Abbasiyya kwa muda urefu na bado yanaendelea, chini ya mkakati wa kuifanya iwe katika muonekano bora na ...
Zaidi