Baada ya kukamilika… Dirisha jipya la malalo ya Aqilah linaagwa katika mji wa Karbala

Alfajiri ya Jumatano dirisha jipya la malalo ya bibi Zainabu (a.s) limeagwa katika mji wa Karbala baada ya kukamilika.

Kikosi cha Abbasi cha wapiganaji kinashindikiza vipande vya dirisha kutoka Atabatu Abbasiyya hadi uwanja wa ndege wa Najafu.

Leo asubuhi litasafirishwa kwa njia ya anga kwenda kwenye malalo ya bibi Zainabu (a.s) nchini Sirya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: